Magazeti tanzania online dating


31-Dec-2017 02:02

Selemani Jafo amesema mahitaji ya wataalam wa Maji kwa sasa katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Nchini ni kati ya elf nne – hadi elfu saba.“Taalum hii ni muhimu sana katika ustawi na Afya ya wananchi wetu kote Nchini, uhakika wa kupata maji salama bado ni changamoto kubwa kutokana kutokuwa na miundombinu ya Uhakika na zaidi ni wataalamu wachache waliopo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa” Alisema Jafo.Aliongeza kuwa Nipongeze chuo hiki cha maji kwa kutoa Shahada kwa mara ya kwanza katika Historia ya Chuo hiki, hapo awali hapakuwa na Ngazi ya Shahada hivyo wataalamu wengi waliishia ngazi ya Stashahada ambapo mara nyingine ilihitajika Utaalamu zaidi kutokana na changamoto za kiutendaji katika maeneo mbali.“Kwa sasa mmejibu changamoto hii katika Sekta ya Maji kwa kufanikisha kutoa wahitimu wa Ngazi ya Shahada haya ni mafanikio kwa Chuo, kwa Wahitimu na Taifa kwa Ujumla nawapongeza sana na nawakaribishe katika Kulitumikia Taifa hili kwa sababu ujuzi mlioupata unahitajika sana” Alisema Jafo.

magazeti tanzania online dating-90

teen webcams sex cam

magazeti tanzania online dating-34

compendio del catecismo de la iglesia catolica online dating

Na kuongeza pia kuwa wataalamu wa mambo ya watoto wanasema kuwa mtoto anapokuwa ndani ya tumbo la mama yake na kwa miaka miwili ya kwanza ndizo zinazompa mtoto fursa ya kujenga maungo yake,ya kujenga ubongo wake,ya kujenga kinga ya mwili.”alisisitiza Prof. Naye Katibu wa CUF Mkoa wa Singida, Selemani Ntandu aliwatahadharisha wanachama wa CUF pamoja na wale wa CCM waishio katika Kijiji na kata ya Ughandi kwa ujumla kwamba endapo watamchagua mgombea wa CCM, Justine Monko wakae wakijua kwamba makao makuu ya wilaya hiyo yatahamishwa kwenda Kijiji cha Sagarumba badala ya Ilongero.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Umoja huo ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa Ndg Kheri Denice James wakati akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Mndarara kilichopo Kata ya Ngaranaibor akiwa ziarani Wilayani Longido Mkoa wa Arusha kwa ajili ya kampeni za Ubunge katika Jimbo la Longido.

Kheri alisema kuwa Rais Magufuli na Mwenyekiti wa CCM Taifa ameamua kusafisha nyumba ambayo ni nchi ya Tanzania hivyo hakutegemewi mtu yeyote kusalia kama mende wa kumkwamisha katika umaridadi wa usafi huo wa maslahi ya Taifa.

Doto Biteko na pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, imefanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi 11, 2018Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi akimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi baada ya ya kumkabidhi vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 ambaye anapokea kwa niaba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyeagiza kuandaliwa kwa kanuni hizo ndani haraka ili sheria iweze kufanya kazi.

magazeti tanzania online dating-10

Free online sex chat rooms without using email

Hafla hiyo ndogo, iliyohudhuriwa pia na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko na pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, imefanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi 11, 2018 Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 ambaye anapokea kwa niaba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyeagiza kuandaliwa kwa kanuni hizo ndani haraka ili sheria iweze kufanya kazi.THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK.